Majadiliano:Utalii nchini Moroko
Mandhari
Marekebisho
[hariri chanzo]Habari!
TAfadhali hakikisha Makala zako ulizoanzisha unaziwekea jamii husika,na Uanzishe makala kwa kiswahili na sio kuchukua kichwa cha makala kama kiivyo kutoka kwenye lugha nyingine isipokuwa majina tu. Mfano kwenye makala ya "Tourism in Morocco" Badala ya "Utalii nchini Moroko". Natumaini umenielewa. Kazi iendelee Super8 Devs (majadiliano) 12:00, 11 Juni 2022 (UTC)