Majadiliano:Ukomeshaji wa Biashara ya Watumwa

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Jina la makala na kichwa chake vinapishana! Kifupi, hukuelezea katika hatua ya awali ya makala. Mfano: Ukomeshaji wa Biashara ya Watumwa ni kampeni dhidi ya ukomeshaji wa utumwa -liongozwa na watu wa magharibi katika kukataza biashara hiyo. Halafu kadha-wa-kadha-wa-kadha. Si ni rahisi kurudia au kuandika upya kichwa cha makala? Basi anza upya - angalau tuweke maksi za juu! Hongera.--MwanaharakatiLonga 17:17, 31 Desemba 2009 (UTC) [jibu]