Majadiliano:Ukoloni

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Ni jambo gumu kusema ukoloni ni taifa kutawala taifa nyingine. Maana yake "taifa" kisiasa ni istilahi ya juzi tu, imeptikana tangu karne ya 19.

Lakini jina la "koloni" ni asili ya Kiroma yaani miaka 2000 iliyopita. Je,tusemaje?? --172.181.158.250 01:43, 27 Desemba 2005 (UTC)