Majadiliano:Ualimu wa kanisa

Page contents not supported in other languages.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Jina la makala[hariri chanzo]

Naomba jina la makala iangaliwe upya. Makala inahusu ualimu kama utaratibu katika kanisa la kikristo hasa kanisa katoliki. Neno "ualimu" lenyewe linamaanisha zaidi kazi ya mwalimu wa shule yeyote kama huyu ni Mkristo au Mwislamu au hana dini. --Kipala (majadiliano) 19:03, 27 Machi 2008 (UTC)Reply[jibu]