Nenda kwa yaliyomo

Majadiliano:Tanzania Tiger Plan

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Makala ifutwe. Ni tafsiri ya makala ya enwiki kuhusu mipango iliyotangazwa mwaka 2004 iliyolenga 2020. Makala haikuendelezwa; kuianzisha sasa kwenye mwaka 2021 ingefaa kama ingeonyesha utathmini wa mipango hiyo ambayo haipo. Tena hakuna vyanzo. Jinsi ilivyo ni bure. Kipala (majadiliano) 13:08, 16 Agosti 2021 (UTC)[jibu]