Majadiliano:Swala

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kwa nini ukurasa huu umesogezwa kutoka "swala"? Kufuatana na kamusi zote ninazojua, "swala" ni tahajia inayostahabiwa.ChriKo (majadiliano) 00:06, 16 Aprili 2009 (UTC)

Asante, ChriKo. Umesema ukweli. Naona ilisogezwa zaidi ya miaka miwili iliyopita tulipokuwa tunawakosa wasimamizi wa kila siku. Sasa nimeurudisha ukurasa kuwa "swala". Wasalaam, Baba Tabita (majadiliano) 08:35, 16 Aprili 2009 (UTC)