Nenda kwa yaliyomo

Majadiliano:Sungura

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kitungule

[hariri chanzo]

Tafadhali toa ushahidi kwa kauli kwamba kitungule ni mtoto wa sungura. Kwa maoni yangu ni aina ya sungura (sungura mwekundu wa Smith). ChriKo (majadiliano) 16:56, 6 Machi 2017 (UTC)[jibu]

KKK inasema yote mawili: a. aina ya sungura; b. mwanasungura. --Riccardo Riccioni (majadiliano) 13:46, 7 Machi 2017 (UTC)[jibu]
Asante Riccardo. ChriKo (majadiliano) 20:43, 7 Machi 2017 (UTC)[jibu]
Asante kwako kwa kukuza na kukamilisha mbegu za vijana wangu. Hata KK21 ina ufafanuzi huohuo wa KKK. --Riccardo Riccioni (majadiliano) 05:58, 8 Machi 2017 (UTC)[jibu]