Majadiliano:Steve Jobs

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Je, ni vyema kuwacha viungo vyekundu visivyo kuwa na makala katika Wikipedia hii ya Kiswahili? Ningeonelea vyema kwamba tuwache viungo hivi vyekundu ili mhariri mwingine akisoma na angependa kuchangia ama kutafsiri maneno yenye alama nyekundu awe katika nafasi zuri zaidi ya kupata nakala ya kiingereza yenye maelezo zaidi kuhusu kichwa hicho..--Stephenwanjau (majadiliano) 13:11, 3 Novemba 2011 (UTC)

Wanjau, inategemea, ndugu! Si kila kiungo cha Kiingereza - lazima kiwepo kwenye Kiswahili. Ni vyema kuacha vile viungo vya msingi tu, basi. Au?--MwanaharakatiLonga 16:10, 3 Novemba 2011 (UTC)