Majadiliano:Simon Rieber

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Vyanzo vya kutosha Na Umaarufu[hariri chanzo]

Makala ina vyanzo vya kutosha kabisa na vimeorozeshwa kwa usahihi...

Afadhali umejitokeza kujadiliana. Kwanza kuna suala la umaarufu, pili vyanzo vipo, lakini si vya kuaminika. Tunahitaji vyanzo vya nje, si vile ambavyo mtu anaweza kuvitunga ili kujitangaza. Lete hivyo. Amani kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 14:32, 9 Mei 2021 (UTC)[jibu]
Umerudi tena kujitangaza. Si mahali pake. --Riccardo Riccioni (majadiliano) 13:47, 20 Oktoba 2021 (UTC)[jibu]
@Riccardo Riccioni (apologies for writing in English): the user is promoting the person across different wikipedia language versions [1]. I deleted the same article at German Wikipedia today [2], it was also deleted at English Wikipedia [3] and I requested deletion at SimpleWiki [4]. I don't know about deletion procedures at this wiki but you might consider deleting it again. -- Johannnes89 (majadiliano) 15:23, 26 Oktoba 2021 (UTC)[jibu]