Majadiliano:Shemasi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Bahati nzuri, kila mtu ana namna ya uandikaji wake, vinginevyo isinge julikana ni nani aliyeandika makala hii. Kutokana na mwandiko, yafahamika kwamba aliyeandika makala hii ni Kipala, ingawaje hajaingia ndani wakati wa kuandika makala hii... Na ishatokea sana kwa Nd. Kipala!! Lakini twafurahia ongezeko la makala katika wiki yetu!! Hadi leo tuna makala 6,673 katika wiki hii... Tukaze mwendo....--"Mwanaharakati" (talk) 08:34, 28 Februari 2008 (UTC)[reply]

Kwa-kwetu Tanzania, huwa "tunaita kukulupuka". Nimekulupuka ksema Kipala ndiyo kaandika, eti kumbe sio yeye!! Duh, ni Riccardo aliyeandika makala hii. Lakini mwandiko wafanana na wa Kipala!! Kweli duniani watu wawili-wawili....--"Mwanaharakati" (talk) 15:29, 28 Februari 2008 (UTC)[reply]