Majadiliano:Shaliaki (kundinyota)
Mandhari
Asili ya Kiarabu au Kiajemi?
[hariri chanzo]Nimerudisha badiliko lililodai asili ya jina ni Kiajemi; maana imebadilishwa ndani ya marejeo kwa chanzo cha Knappert ambayo si sahihi. Kama kuna chanzo kingine cha kitaalamu, kionyeshwe hapa. Afadhali swali lijadiliwe kwanza.Kipala (majadiliano) 08:05, 1 Desemba 2021 (UTC)