Majadiliano:Schiphol
Mandhari
Schiphol ni uwanja wa kimataifa wa ndege wa Amsterdam nchini Uholanzi. Hamna. Hii huwa tunaitaja kwa kusema: Uwanja wa ndege wa kimataifa wa Amsterdam nchi....... Ila sijui sana ila tunafuata taratibu zilizopo katika kutaja vitu.--Mwanaharakati 13:07, 29 Desemba 2007 (UTC)
Asante kwa sahihiso! --Kipala 14:25, 29 Desemba 2007 (UTC)