Nenda kwa yaliyomo

Majadiliano:River Rouge, Michigan

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Jina la mji ni River Rouge, si kwingine. Kama tungekuwa na jina la kimapokeo la pekee ingekuwa sawa (mfano: Ureno, Uingereza) lakini kwa mji huu hatuna. Kwa hiyi hapa wikipedia unapaswa kwa kuitwa kwa jina lake lenyewe yaani River Rouge. (maana ukutaka kutafsiri kila kitu unapaswa kutafsiri hata "rouge" inayomaanisha "nyekundu"). Kwa mto mwenyewe ni sawa kusema "mto Rouge". Makala isogezwe. Kabla ya kuisogeza lugha iangalie maana ni baya si kiswahili bado. --Kipala (majadiliano) 10:55, 16 Januari 2010 (UTC)[jibu]