Majadiliano:Reli ya garimoshi
Mandhari
Sina uhakika kama jina kwelilinafaa. Nimefuata kamusi ya TUKI Englsh-Swahili dictionary (Kamusi ya Kiingereza - Kiswahili) lakini sijui kama tafsiri hii si zaidi maelezo kuliko neno linaofaa kwa lemma. Kipala (majadiliano) 20:04, 29 Mei 2014 (UTC)