Nenda kwa yaliyomo

Majadiliano:Pumu

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Weka mada
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Latest comment: miaka 10 iliyopita by Muddyb Blast Producer in topic Ugonjwa wa mapafu?

Ugonjwa wa mapafu?

[hariri chanzo]

Tafadhali, mmepata tafsiri hiyo ya "asthma" wapi? Maana ya ugonjwa wa mapafu ni "lung disease" tu. Ukimaanisha ugonjwa mahususi afadhali ni "bronchitis". Tafsiri sahihi ya "asthma" ni pumu. Ni bora kuhamisha makala hii. ChriKo (majadiliano) 21:51, 15 Agosti 2015 (UTC)Reply

Hata mimi najua asthma ni pumu.. Nashangaa jina hili! Badilisha tu, ndugu ChriKo..--MwanaharakatiLonga 05:06, 17 Agosti 2015 (UTC)Reply