Majadiliano:Pinga (Kuapa)
Mandhari
Nina wasiwasi kama habari za makala hii ni kweli. Kamusi ya Kiingereza cha Marekani si chanzo kwa lugha ya Kiswahili. Tusipoona uthibitisho mwingine, heri kufuta. Kipala (majadiliano) 10:09, 15 Aprili 2020 (UTC)