Majadiliano:Petrider Paul

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Makala haielezi mhusika ni mteule (maana yake??) wa aina gani, wala haielezi lile baraza la muungano (wa nini?) la vijana ni kitu gani. Pamoja na kutoeleweka (isipokuwa kwa watu wanaojua tayari "mteule wa baraza" ni nini) hakuna chanzo maana linkedin ni sawa na facebook, ni tovuti am bako kila mtu anajitangazua. Makala isahihishwe; kama la heri ifutwe. Kipala (majadiliano) 16:48, 8 Aprili 2020 (UTC)[jibu]