Nenda kwa yaliyomo

Majadiliano:Pasaka

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Yaliyomo ya awali ya kuanzisha ukurasa yalikuwa machafuko tu yakafutwa. --Kipala (majadiliano) 08:29, 28 Juni 2008 (UTC)[jibu]

"Pasaka" Ni Jina La Sikukuu Ya Kikristo, Linalotokana Na Lugha Ya Kiebrania. Ambapo Mara Nyingi Sikukuu Hii Hutokea Mwez Wa 3 Mwishon Hadi Wa 4. Pasaka Ina Siku Kuu 3, Ambazo Zinaanzia Ijumaa Mpaka Jumapili, Ambapo Anateswa Anateswa Ijumaa Na Anakufa Saa Kenda( 9 ) Mchana, Jumamosi Ndipo Wakristo Tunasema Anaenda Kuzimu Kuchukua Funguo Kwa Ibilisi, Na Jumapili Asubuhi Saana Anafufuka Na Kutoka Kaburini Ndipo Wakristo Tunafurahi Kwa Kufufuka Masiha Bwana Wetu Nayo Ndio Sikukuu Ya Pasaka. Hadithi Ni Ndefu Saaana Kama Unataka Kujua Zaidi Soma Biblia Kitabu Cha Mathayo Chote AMINA: By Frank Z Leonard