Majadiliano:Paoneaanga

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Maelezo kuhusu msamiati huu[hariri chanzo]

Neno hili lilitungwa nami Jadnapac mnamo tar 26 Nov 2019 likiwa na maana ya Pahala ambapo wanaastronomia hutumia kuona/kuonea na kuchunguza mambo ya anga.

(Pa)hala ambapo wanaastronomia hutumia ku(onea) (anga)= Paoneaanga

Zoezi hili lilifanyika wakati wa Warsha ya Mambo ya Nyota iliyofanyika katika chuo cha Open University of Tanania-Biafra. Baadhi ya waliohudhuria katika warsha hii ni pamoja na Ndg. Riccardo, Ndg. Muddby, Dr. Jiwaji na Marehemu Ndg. Kipala (alikuwa mwandaaji, mratibu na mwezeshaji mkuu wa warsha hii).Jadnapac (majadiliano) 11:08, 16 Julai 2023 (UTC)[jibu]