Majadiliano:Orodha ya mito ya kaunti ya Isiolo
Mandhari
Mto Mchongo na Mto Umba inatajwa na Wiki ya Kisebuano kama mito ya kaunti hii lakini mpakani mwa Tanzania, kitu ambacho hakiwezekani. --Riccardo Riccioni (majadiliano) 14:42, 1 Oktoba 2018 (UTC)