Majadiliano:Nomino

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Nomino ni maneno yanayofanya kazi ya kutaja majina ya watu,vitu au mahali.nomino huweza kubeba viambishi vinavyodhihilisha umbo la umoja na wingi,ingawa zipo baadhi ya nomino zisizobeba viambishi vinavyodhihilisha umbo la umoja na wingi.

Aina za nomino[hariri chanzo]

Kuna aina kuu nne 4 za nomino ambazo ni:

  • (a)Nomino za kawaida
  • (b)Nomino za kipekee
  • (c)Nomino za dhahania*(d)nomino za jamii

(a)Nomino za kawaida[hariri chanzo]

Ni nomino zinazotaja kitu chochote ndani ya kundi la vitu vinavyofanana.Nomino hizi hutaja majina ya vitu vyenye umbile moja.Mfano:Mnyama,Mtu,mwanafunzi n.k. -Nomino za kawaida zinapoanzwa huanza kwa herufi kubwa.

(b)Nomino za kipekee[hariri chanzo]

Ni nomino ambazo hutaja majina ya vitu maalumu.Nomino hizi hutaja majina ya vitu kwa jina lake. Mfano:Simba,Kasuku,Mwarobaini n.k.

(c)Nomino za dhahania[hariri chanzo]

Ni mjina yanayotaja vitu ambavyo havionekani kwa macho wala kugusa bali vinafikilika tu kuwepo kwake.Mfano:Ugonjwa,Upepo,mungu n.k.

(d)nomino za jamii[hariri chanzo]

Ni majina ya vitu vilivyo katika hali ya mkusanyiko wa kijamii.Nominoza aina hii hutaja ya vitu ambavyo kwa nje huonekana kama kimoja lakini ndani yake huundwa na vitu vingi vya aina moja. Mfano:Bunge,Jeshi,Bendi n.k.

{{{Mbegu-lugha}}} {{{Jamii-neno}}}

Kiswahili[hariri chanzo]

aina za nomino 196.249.97.57 11:59, 2 Julai 2023 (UTC)[jibu]

English[hariri chanzo]

clauses 196.249.97.57 12:05, 2 Julai 2023 (UTC)[jibu]