Majadiliano:Namiri

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Tiger / Namiri[hariri chanzo]

Sijui neno "namiri" wala siwezi kuikuta katika kamusi zangu zote wala kwa njia ya google. Namwomba mchangiaji aeleze sababu zake kwenye ukurasa wa majadiliano na kutaja chanzo chake. Kama nimekosea samahani lakini baada uhamisho bila maelezo kwangu inaonekama kama kosa. Bila maelezo makala futwe. --Kipala (majadiliano) 16:14, 29 Machi 2011 (UTC)[jibu]

Nakubali na wewe kabisa. Nawaza kwamba "namiri" inatoka Kiarabu, lakini نمر inamaanisha chui. "Tiger" ni ببر (babr) kwa Kiarabu. Ukitaka jina kwa Kiswahili, chagua chui milia. ChriKo (majadiliano) 23:14, 29 Machi 2011 (UTC) (imenakiliwa hapa kutoka majadiliano:Tiger na Kipala (majadiliano) 16:58, 30 Machi 2011 (UTC) )[jibu]