Majadiliano:Mzungu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Muddy ameniomba nisahihishe makala. Basi nimeibadilisha kabisa; si rahisi kwa sababu ni neno ambalo kila mutu analitumia lakini halieleweki vizuri sana kwa undani sijui kama kuna mtaalamu wa lugha aliyeifanyia utafiti matumizi yake. --Kipala (majadiliano) 20:29, 25 Machi 2008 (UTC)