Majadiliano:Mwanasheria Mkuu

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

KERO YA WATU WA CHIUMBATI SHULENI[hariri chanzo]

Mi naomba kuuliza...kila kata katika wilaya yetu ya nachingwea makao makuu ya kata yapo pale palipo tangazwa kata...Sasa kwanini makao makuu ya kata ya chiumbati shuleni yakawe chiwindi...hii haki kweli...na mkuu wa wilaya na mkurugenzi ndio wanakazania chiwindi makao makuu hawaoni kama wanasabisha mgogoro..maana watu wa chiumbati hajarizika na maamuzi haya..Nahitaji muongozo. Jabir mwaya (majadiliano) 06:32, 24 Oktoba 2018 (UTC)[jibu]