Nenda kwa yaliyomo

Majadiliano:Musa Makanga

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Asante sana kwa makala yako nzuri, ila jaribu kutafuta vyanzo vingine bora zaidi ambavyo havitokani na tovuti zinazoruhusu mtu binafsi kuandika yanayomuhusu, Amani sana Idd ninga (majadiliano) 08:01, 21 Aprili 2021 (UTC)Idd ninga Asante kwa kuthamini, nitaongeza marejeo mashuhuri juu yake lakini fahamu tu kuwa yeye ni mtu mashuhuri sana katika tasnia ya muziki ya uganda na uganda na imethibitishwa kwenye majukwaa yake mengi ya mediana beji ya bluu ya kijamii kama Facebook, Yoututbe, Googel na mengine mengi.[jibu]