Majadiliano:Muda sanifu wa dunia

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ah, kumradhi kidogo. Kiswahili na maarifa/uzoezi na ujuaji wangu kwa ujumla una-kataa kuweka "ya" katika makala hii. Inatakiwa iwe "Muda sanifu wa dunia" - na si "ya" dunia... Hebu tafakari tena kwanza halafu tuongeee!!!!--MwanaharakatiLonga 18:15, 17 Desemba 2011 (UTC) [jibu]