Majadiliano:Mto Avon (Warwickshire)
Mandhari
Lugha??
[hariri chanzo]Lugha haipendezi kabisa. "mto huu una uwezo wa ujenzi wa kufuli na kuta" - nani atasahihisha maneno ya ajabu kam haya??? Si tabia nzuri kutupa matokeo ya utafsiri wa kompyuta au programu hapa bila kujali tokeo ni nini. --Kipala (majadiliano) 17:14, 22 Januari 2010 (UTC)