Nenda kwa yaliyomo

Majadiliano:Mto

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

maana ya mto

[hariri chanzo]

Mto ni mkusanyiko asilia wa maji yanayotiririka kutoka kwenye chanzo mpaka kwenye mdomo wake. Babakleti (majadiliano) 01:30, 5 Agosti 2015 (UTC)[jibu]

Asante mwalimu: sasa tujadili nini? --Riccardo Riccioni (majadiliano) 15:44, 6 Agosti 2015 (UTC)[jibu]