Majadiliano:Mrisho Mpoto
Mandhari
Kiingereza
[hariri chanzo]Nafurahi ya kwamba mabadiliko ya Kiingereza yameondolewa tena hasa kwa sababu zilinakiliwa kutoka tovuti nyingine moja kwa moja jambo ambalo halikubaliki. Hata hivyo nitaondoa sasa fomatmbalimabli zilizovurugikwa.Kipala (majadiliano) 15:24, 7 Mei 2015 (UTC)