Majadiliano:Mona Eltahawy
Mona Eltahawy (Alizaliwa tarehe 1 Agosti 1967) ni mwandishi huru raia wa Misri na Marekani [1]na mchambuzi wa maswala ya kijamii, ni Mkazi wa jiji la NewYork City.Ameandika makala yaliyochapishwa kidunia kuhusiana na Misri na Usilamu , ikijumuishwa maswala ya wanawake , Uisilamu na mambo ya siasa pamoja na ya kijamii.Kazi zake zimechapishwa na Woshington Post, New York Times, Christian Science Monitor na Miami Herald pamoja na mingine. Aliandika vitabu vya Headscarves and Hymens kama kitabu chake cha kwanza mwaka 2015.Amewahi kuwa mchambuzi mualikwa wa Marekani katika vipindi vya televisheni na habari.Anajulikana pia baada ya kuanzisha harakati za kiislaamu.[2][3][4][5]
Alishawahi kuzungumza kwenye vyuo, mazungumzo na kwenye majumuiko ya kiimani kuhusiana na haki za binadamu ,mageuzi ya imani ya kiislamu ,wanawake na mahusiano ya Waislamu na Wakristo .
Marejeo
[hariri chanzo]- ↑ Ratnam, Dhamini (Aprili 19, 2017). "I Complicate the Image of Muslim Women: Mona Eltahawy". The Wire.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Muslim Women Are Speaking Out About Abuse". Time (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2018-02-23.
- ↑ Eltahawy, Mona. "Opinion | #MosqueMeToo: What happened when I was sexually assaulted during the hajj", Washington Post, 2018-02-15. (en-US)
- ↑ "#MosqueMeToo: Women share experiences of sexual harassment inside religious places", The Times of India.
- ↑ Amidi, Faranak. "Muslim women rally round #MosqueMeToo", BBC News, 2018-02-09. (en-GB)