Majadiliano:Milima ya Kipengere

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Makala hii inafuata makala ya Kiingereza kwa kusema eti Kipengere na Livingstone ni majina mbadala ya milima ileile. Sidhani ni sahihi. Ramani inayoonyeshwa hapa

Kipengere.jpg

ni sahihi ikiliganishwa na ramani hapa https://esdac.jrc.ec.europa.eu/images/Eudasm/Africa/images/maps/download/afr_tz2005_ge.jpg (ya 1969). Inaonyesha ipengere na ivingstone kuwa sehemu mbili tofauti. Au kuna mabadiliko rasmi? Kipala (majadiliano) 16:33, 13 Agosti 2019 (UTC)