Majadiliano:Miikka Mwamba
Mandhari
Miikka mwamba ameinua wasanii wengi sana wa Bongo flavor hapa Tanzania lakini Kinacho shanaza hakuna hata msanii mmoja ambae amewa kumzungumzia kwann?
[hariri chanzo]Miaka ya nyuma tulkua tunajua na tunatambua baadhi ya maproducer wengi hapa nchini lakin kkaz aliyo ifanya Miikka mwamba ni kubwa naomba Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania itambue Umuhimu wa Huyu Producer anastahili tuzo za Bongo falavor ameinua tasnia ya bongo flavor 197.186.19.245 09:15, 9 Aprili 2024 (UTC)