Majadiliano:Mfumo radidia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

I've seen the periodic table also called "Jedwali la Elementi." Which is more correct?

Nafikiri yote. I guess any. These are subjects which are not discussed a lot yet in Swahili and I think that word usage varies quite a bit. Technical and scientific terms outside daily experience have been proposed and changed over the years. Unless something is in primary school syllabus and thus actively used by a larger number of people and then also in newspaper etc. such terms are often mostly or even purely kamusi (existing between book covers). I followed in this case the TUKI-dictionary "Kamusi Awali ya Sayansi na Tekinologia". But working my thru the elements I also notice that TUKI-dictionaries vary between themselves.
Hopefully this wikipedia together with the spread of internet in East Africa will reach the point where the online availability of terms starts influencing language usage. Hopefully also vice versa because as I am now not living in EA I dont have much exposure to changing word usage on the ground. But thats why wikipedia is an open project.
Our usual standard in this wiki is to use a lot of parallel notions via the "#redirect"-function to cope with such variations. Thanks for the hint, I set this one up. --Kipala 10:15, 21 Septemba 2007 (UTC)


Tahajia (spelling)[hariri chanzo]

Malangali alibadilisha 114-Uuq-Ununqadi kuwa 114-Uuq-Ununkadi yaani "k" badala ya "q". Kweli tahajia sanifu yaendelea bila herufi "q". Isipokuwa hali halisi matumizi yake yameingia kwa maneno ya kigeni. Hasa maneno yenye asili ya Kiarabu: "kwenye Qurani" napata kwa google mara 1600 lakini "kwenye kurani" napata mara 800 tu. Pia: "Qatar" yatokea zaidi kuliko "Katar". Hapa kwenye jedwali la elementi nilitumia "q" kwa sababu ni sehemu ya kifupi. Hatuwezi kubadilisha kifupi cha kimataifa kuwa Uuk badala ya Uuq, sivyo? Kwa hiyo katika maneno ya kisayansi q inaweza kusaidia pia. Lakini hapa wenyeji waseme, tusigombane. --Kipala 17:56, 13 Desemba 2007 (UTC)