Majadiliano:Mdudu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kuhusu picha[hariri chanzo]

Mtu wa kawaida huita (m)dudu kila kitu kidogo kinachosogea na kisicho rahisi kubaini. Sidhani kwamba ataita buibui mkubwa mdudu, kwa sababu takriban watu wote wanajua buibui. Kwa hivyo ningependa kutoa picha ya buibui. ChriKo (majadiliano) 09:12, 21 Mei 2015 (UTC)[reply]