Majadiliano:Mbute
Mandhari
Viazi vitamu au muhogo?
[hariri chanzo]Ninavyojua mbute ni chakula cha viazi vitamu. Je ni pia jina kwa chakula cha muhogo au viazi vingine???Kipala (majadiliano) 10:26, 5 Aprili 2015 (UTC)
mbute ni jina la chakula cha muhogo!(imeandikwa 5 Aprili 2015 12:43 na mtumiaji:Enock John)
- Asante, Viazi vitamu vinavyopikwa na kukaushwa vinaitwaje? Kipala (majadiliano) 18:39, 5 Aprili 2015 (UTC)
- Habari! mzee kipala, asante kwa swali lako, Viazi vitamu vilivyopikwa na kuanikwa vinaitwa Matobolwa.
- Kumbe, asante! Hapa umesahihisha maprofesa wa TUKI walioweka hii katika kamusi yao:
:::mbute nm i-/zi- boiled and dried sweet potatoes. - menginevyo naomba usisahau kutia saini yako ukimaliza. inatosha kuweka ala 4 za ~~~~ Kipala (majadiliano) 12:32, 6 Aprili 2015 (UTC)
- Kumbe, asante! Hapa umesahihisha maprofesa wa TUKI walioweka hii katika kamusi yao:
- Asante kwa kunikumbusha. na nimefurahi kusikia kuhusu TUKI'Enock John (majadiliano)' 16:40, 6 Aprili 2015 (UTC)
- Salaam mzee kipara. Kuhusu ulicho kiongezea kuhusu mbute upo sahihi kabisaEnock John (majadiliano) 12:19, 29 Mei 2017 (UTC)