Nenda kwa yaliyomo

Majadiliano:Marianne Koch

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ahsante kwa mchango wako, japokuwa huja jiandikisha katika wikipedia ili uweze kuonekana wewe ni nani. Kuna swali kidoogo, huyu mama ni daktari wa tiba gani? Maana umeandika tu daktari wa tiba, lakini haijulikani anatibu nini. Samahani kwa usumbufu, kama utaona nimekosea kuuliza swali hili basi nisamehe, ila tu karibu sana katika wiki hii ya Kiswahili. Kila lakheri. --Mwanaharakati 08:28, 20 Novemba 2007 (UTC)[jibu]