Majadiliano:Marco Masano
Weka madaMandhari
Latest comment: miaka 10 iliyopita by ChriKo in topic Hakuna ruhusa kuandika kuhusu mwenyewe
Hakuna ruhusa kuandika kuhusu mwenyewe
[hariri chanzo]Marco salaam. Sera ya Wikipedia ni kwamba watu hawaandiki kuhusu wao wenyewe. Nafikiri umefanya makosa bila makusudi, kwa sababu matini haya yamo katika ukurasa wako wa mtumiaji (Mtumiaji:Marco Masano). Makala hii itafutwa. ChriKo (majadiliano) 17:14, 1 Januari 2016 (UTC)