Mtumiaji:Marco Masano

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Marco Masano alizaliwa J,Mosi tarehe 31/5/1997, mida ya saa 11 jioni,Mkoa wa Tabora wilaya ya Igunga, Alianza darasa la kwanza mwaka 2006 Katika shule ya msingi Charles Kabeho,na kuhitimu darasa la Saba mwaka 2012, Alijiunga na kidato cha kwanza mwaka 2013,katika shule ya sekondari Ndembezi,mapaka sasa yupo kidato cha Nne!