Majadiliano:Makanya (Same)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

samahani kabla sijaweka maandishi napenda kupata ufafanuzi juu ya kama nina taarifa za kazi za shirika au mashirika yanayofanya kazi katika kata hii naruhusiwa kuingiza kama sehemu ya kupeleka ujumbe kwa jamii nini kinatokea katika kata husika?

unaweza kunijibu hapa au kwa email hii smkoma2002@yahoo.com


Karibu mchangiaji mgeni; sielewi kamili unachotaka kuuliza nitatumia anwani yako kupata ufafanuzi. Majadiliano kama haya hufaa hasa kwenye ukurasa wa majadiliano si katika makala penyewe. --Kipala (majadiliano) 19:46, 28 Oktoba 2009 (UTC)[reply]