Majadiliano:Makanikaumeme

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Lemma hii kwa uhakika si sahihi. Kamusi Saniu ya Kompyuta (Kiputiputi) ina "makanikaumeme". Maelezo ya picha si sahihi, ni kituo cha kusimamia njia za reli mjini Pukekohe, haiitwi vile . Kipala (majadiliano) 19:37, 27 Mei 2020 (UTC)[jibu]