Majadiliano:Majiji yasiyoonekana

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

"Invisible Cities" ni tafsiri ya Kiingereza ya "Le città invisibili". Hapa tutumie au jina la asili la kitabu au tafsiri la Kiswahili. Kwa hiyo, jina la makala hii iwe au "Le città invisibili" au "Majiji yasiyoonekani". Kama hakuna tafsiri ya Kiswahili ya kitabu hii, nitapendelea kutumia "Le città invisibili". Marcos 11:01, 3 Julai 2006 (UTC)