Nenda kwa yaliyomo

Majadiliano:Mae Jemison

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Weka mada
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Latest comment: miaka 6 iliyopita by Kipala in topic Kusafisha

Kusafisha

[hariri chanzo]

Niliondoa sehemu ya sentensi ya pili iliyosema "wakati akiwahudumia wafanyakazi wa anga wa Shuttle Endeavor ". Sielewi alichohudumia? Kwa jumla walikuwa wanaanga 7 na kila moja alikuwa na kazi yake. Kama sehemu hii inahitaji krudishwa tafadhali kwa maelezo yanayosaidia kuielewa.Kipala (majadiliano) 17:22, 29 Aprili 2019 (UTC)Reply