Majadiliano:Maajabu ya dunia

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Sehemu ya "Maajabu ya dunia ya sasa" haieleweki vema jinsi ilivyo. Napendekeza ndugu fute ajaribu kutafsiri tu sehemu ya "Modern lists" katika makala ya en:Seven Wonders of the Ancient World. Jinsi ilivyo sasa haieleweki ni namna gani kitu kitazamiwe kuwa maajabu, na nani na kadhalika. Kipala (majadiliano) 14:45, 16 Oktoba 2016 (UTC)[jibu]