Majadiliano:Maadili

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Maadili'' ni mafundisho yanayotolewa katika nafasi mbalimbali, hasa katika malezi, ili kuelekeza binadamu atende namna ambayo inamjenga yeye na jamii nzima.

Maadili yanayohitajiwa na watu wote kimsingi ni yaleyale, lakini mazingira yanaweza kudai yatekelezwe kwa namna tofauti kiasi.

Pamoja na hayo, watu tangu zamani wametoa maadili namna maalumu kulingana na dini, utamaduni, falsafa n.k.