Majadiliano:Lucian Msamati
Mandhari
Nimesahihisha mwanzo lakini naona makosa yanazidi. Tafsiri ni mbaya, tahajia hata ya kichwa (lemma) si sahihi, matini bado inajaa Kiingereza kisichotafsiriwa. Ama mmoja aihurumie makala na kuwekeza wakati wake, au ifutwe. Kipala (majadiliano) 14:22, 30 Januari 2021 (UTC)