Majadiliano:Langiro

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Ongezo la habari[hariri chanzo]

Tarehe 21 Julai 2013, mwandishi asiyesajiliwa ameongeza habari zifuatazo:

wakazi wa kata ya langiro wanajishughulisha na kilimo cha kahawa hata na kilimo cha mihogo kwa ajiri ya chakula hata hivyo kilimo cha kahawa kinaonekana kuwatesa wengi sbb wanashindwa kumudu gharama za pembejeo na wengi wao wanakilimo kile cha mazoea .kata ya langiro ina taasisi mbili za serikari nazo ni shule ya msing na secondar pili inaofisi za kata kwa hali halisi wanakijiji wa kata ya langiro wanahitaji kuelimishwa zaid kuhusu zao la kahawa ili walilime kama zao la biashara na waache tabia ya kuuza kahawa shambani kwa jina maharufu (magoma) utamaduni wa wamatengo ni ngoma za mganda nguvu,kihoda, mwambo,na lindeko .

Habari hizo zithibitishwe na kuingizwa ifaavyo katika makala. --Baba Tabita (majadiliano) 20:01, 13 Agosti 2013 (UTC)[reply]