Nenda kwa yaliyomo

Majadiliano:Lang'ata (Mwanga)

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Jina lang'ata ni neno la kimasai linalomaanisha kivuko.Jina hilo lilitokana na kuwepo kwa kivuko ambacho wafugaji(wamasai) walikua wakivusha mifugo yao kutoka upande mmoja wa bwawa kwenda upande mwingine wa bwawa la nyumba ya mungu lakini kwa wakati huo ilikua tu ni mto pangani,hivyo wakaamua kuita kata hiyo lang'ata. Imehaririwa na Nathan Chifuka Fabiano (iliandikwa 16:20, 18 Julai 2011 na 41.217.202.13 kwa kufuta maandishi asili ya makala yenyewe... --Kipala (majadiliano) 21:57, 18 Julai 2011 (UTC))[jibu]