Nenda kwa yaliyomo

Majadiliano:Lacrosse ya wasichana

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Weka mada
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Latest comment: miaka 6 iliyopita by Kipala in topic Kuhamisha, kusahihisha

Kuhamisha, kusahihisha

[hariri chanzo]

Makala hii inahitaji kuhamishwa kwenda Lacrosse. Sijaona ushuhuda wowote kwa kuwepo kwa "Lacrosse ya wasichana". Mchezo huu unachezwa na wanaume na wanawake kwa pamoja; naona kuna pia Lacrosse ya wanawake. Hata enwiki haina makala ya pekee kwa mchezo wa wanawake.

Tena kuna habari kadhaa ndani ya makala ambazo si sahihi. Haielezi asili yake ni mchezo wa Maindio, yaani wakazi asilia wa Amerika. Si kweli ni mchezo wa watu "wasio na imani". Haitaji Kanada kama nchi ya asili. Naona kwa masahihisho machahce inaweza kuunda makala nzuri ya "Lacrosse" Kipala (majadiliano) 19:08, 4 Desemba 2019 (UTC)Reply