Nenda kwa yaliyomo

Majadiliano:Kuvu

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Vibufu?

[hariri chanzo]

Nimebadili "vibufu" kwa "spora". Mimi sijui "vibufu" na nikitafuta kwenye mtandao ninaona matini mamoja tu. Nani anajua maana ya "vibufu"? ChriKo (majadiliano) 12:02, 14 Novemba 2015 (UTC)[jibu]

Kibufu - vibufu nilichukua wakati ule kutoka KAST; jinsi ilivyo mara nyingi mapendekezo yake hayakupokelewa. TUKI-ESD inapendekeza kiiniyoga na kijimbegu. Kijimbegu ni zaidi maelezo, labda kiiniyoga inaweza kufaa kama jina? Hata hivyo kwenye mtandao kuna mifano michache, angalau mmoja mwenye maana (nisipokosei) http://publications.cta.int/media/publications/downloads/1477_PDF.pdf. Vibufu haifai ila tu kama redirect kama "spora / kiiniyoga (?)" inatungwa. Mara chache mapendekezo ya KAST yanaweza kuonekana baadaye sana. Kipala (majadiliano) 17:38, 14 Novemba 2015 (UTC)[jibu]