Majadiliano:Kunona
Mandhari
Ninapendekeza jina la makala libadilishwe na kuwa "unene" kwa sababu lugha ya kunona ni kama ya mshangao hivi kwa Kiswahili. Mfano, he! yule jamaa kanona huyo - ikiwa na maana mambo yake safi, lakini unene inataja maana zote za mwenye fedha na asiye na fedha!--MwanaharakatiLonga 10:17, 11 Juni 2010 (UTC)